Founder and Executive Director of Lukiza Autism Foundation @hildankabe had received a PAN AFRICAN WOMEN ECONOMIC SUMMIT AWARD- OUTSTANDING SUPPORT IN AUTISM; this evening Thursday 28th July 2022 during the Dinner Gala organized by PAWES at Johari Rotana hotel Dar es salaam.
This is in recognition to her dedication and work towards ensuring better education and equal opportunities for children and youth with autism in Tanzania.
Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Lukiza Autism Foundation @hildankabe amepokea TUZO YA PAN AFRICAN WOMEN ECONOMIC SUMMIT- HARAKATI BORA KATIKA KUELIMISHA JAMII KUHUSU USONJI; jioni ya Alhamisi tarehe 28 Julai 2022 wakati wa Sherehe ya Chakula cha jioni zilizoandaliwa na PAWES katika hoteli ya Johari Rotana Dar es salaam.