Tathmini (Assessment) ya Watoto wenye Usonji Katika Kituo cha Usonji cha Msimbazi Mseto
Lukiza Autism Foundation wakishirikiana na Afya Check Wamewafanyia tathmini (assessment) watoto wenye Usonji katika kituo cha Usonji cha Msimbazi Mseto; ili kujua mahitaji yao ya mazoezi tiba ikiwa ni hatua za awali za Lukiza Autism Foundation kutekeleza lengo mojawapo la mbio ya RUN 4 AUTISM TANZANIA 2023; lengo la kusaidia gharama za mazoezi tiba ya watoto wenye Usonji katika kituo cha Usonji cha Msimbazi Mseto.
Lukiza Autism Foundation in collaboration with Afya Check, have assessed students with Autism at the Msimbazi Autism Centre; to evaluate their therapy needs as initial steps of Lukiza Autism Foundation implementing one of the objectives of RUN 4 AUTISM TANZANIA HALF MARATHON 2023; to support the costs of therapy for students with Autism at Msimbazi Autism Center.